Omba sala hii leo.
Mpendwa Bwana Yesu,
Najua mimi ni mwenye dhambi,
ninaomba msamaha wako. Naamini wewe ulikufa kwa ajili ya dhambi zangu na
kufufuka kutoka kwa wafu. Ninaamini na kukufuata kama Bwana na Mwokozi wangu.
Ongoza maisha yangu na unisaidie kufanya mapenzi yako.
Kwa jina Yesu, Amina.
Ikiwa uliomba sala hii au ukiwa una
maswali kuhusu uhusiano wako mpya na Yesu Kristo, tafadhali tuambie kupitia.
Mob: +255 713 121 780
Mob: +255 754 809 462
Barua pepe: frankrissen@gmail.com
Hongera mkuu, kazi yako ni njema sana kualika watu kwenye ufalme wa Mbinguni.
ReplyDeleteUtukufu ni kwa Mungu. Karibu sana hapa.