Habari Njema

Mungu anakupenda sana kiasi kwamba alimtoa Mwanawe wa pekee, Yesu Kristo, kufa kwa ajili ya dhambi zako. Ikiwa unamwamini, geuka kutoka kwenye dhambi zako, na kumfanya Yesu awe Bwana na mwokozi wa maisha yako, utakuwa na uzima wa milele pamoja naye mbinguni.

Omba sala hii leo.

Mpendwa Bwana Yesu,

Najua mimi ni mwenye dhambi, ninaomba msamaha wako. Naamini wewe ulikufa kwa ajili ya dhambi zangu na kufufuka kutoka kwa wafu. Ninaamini na kukufuata kama Bwana na Mwokozi wangu. Ongoza maisha yangu na unisaidie kufanya mapenzi yako.

Kwa jina Yesu, Amina.

Ikiwa uliomba sala hii au ukiwa una maswali kuhusu uhusiano wako mpya na Yesu Kristo, tafadhali tuambie kupitia.

Mob: +255 713 121 780
Mob: +255 754 809 462

Barua pepe: frankrissen@gmail.com


2 comments:

  1. Hongera mkuu, kazi yako ni njema sana kualika watu kwenye ufalme wa Mbinguni.

    ReplyDelete

Barikiwa kwa ujumbe wako.